Leteipa the King – Happy Birthday

Happy Birthday Lyrics
Leteipa the King – Happy Birthday Lyrics

Verse 1
Imagine tayari nilikuwa nishasahau
Kwamba leo ni siku ya kusherehekea
Nivenye nimewa busy nikihustle dooh
Na picha yako sitaiweka kwa mitandao
Na usidhani kwamba sikuwa nacare
Nivenye safcom nina deni ya soo

Hook
Ningelikuwa na pesa ningekubuyia kagari
Nikupe wee my dear
Nikupeleke uingereza
Ukaone umaridadii
Wa dunia
Imagine nimeshindwa, kuafford hata kagari, kakukuwishia
Happy birthday jibambee

Lyricsbyletras.com

Chorus
Happy birthday…eeeeeeh.uoooooh x2

Verse 2
Nakuombea uishi zaidi ya miaka elfu moja
Ndo ujionee wajukuu wako pamoja ma vitukuuu
Uwaeleze tulivyosaidiana, kama masoldier
Na kutoana machozi kavitunguuu vitunguuu Hook
Ningelikuwa na pesa ningekubuyia kagari
Nikupe wee my dear
Nikupeleke uingereza
Ukaone umaridadii
Wa dunia
Imagine nimeshindwa, kuafford hata kagari, kakukuwishia
Happy birthday jibambee

Chorus
Happy birthday…eeeeeeh.uoooooh x2

Leteipa the King

Search music video on youtube:

    Descubra mais sobre LyricsByLetras

    Assine agora mesmo para continuar lendo e ter acesso ao arquivo completo.

    Continue reading