Nviiri The Storyteller – Pombe Sigara

Pombe Sigara – Nviiri The Storyteller Lyrics, Letra:
Oh ooh pombe sigara
Naweza wacha bila kung’ang’ana
Lakini hawa wasichana
Vile nawapenda, ni kama laana

Oooh Sol Generation
And that’s why tell aah eey aii ooh

Naskia walevi huota na bia
Lakini kuna siri nitawaibia leo
See am not addicted to alcohol
Am not a victim not at all
Yalimpata Samson, yakampata Solomon
Situation hugeuka tricky
Kila shimo napanda miti
Contribution kwa team mafisi Karura
Eeey, situation hugeuka tricky, kwa hivyoo
Msiniweke kamba kwa shingo

Lyricsbyletras.com

Pombe sigara
Naweza wacha bila kung’ang’ana aah
Lakini hawa wasichana
Vile nawapenda ni kama laana aah

Somebody is cool and not fine
Tell them that’s how we tell a …
Ati alivunja shingo akalemewa
Akatoa fimbo nnje ya ndoa
Na hivyo ndivyo alijichomea

Eeey situation imekuwa tricky
Kuona shimo alipanda miti
Na hivi sasa ako Kamiti kwa jela
Eeey situation hugeuka tricky, kwa hivyoo
Msiniweke kamba kwa shingo

Pombe sigara aah
Naweza wacha bila kung’ang’ana aah
Lakini hawa wasichana
Vile nawapenda ni kama laana aah
Oooh yeah, yeah

Pombe sigara aah
Naweza wacha bila kung’ang’ana aah
Lakini hawa wasichana, manze vile nawapenda
Ni kama laana aah
(Oooh yeah yeah…yeah)
Letra lyrics lyric letras versuri musiek lirieke tekstet paroles

Search music video on youtube:

    Descubra mais sobre LyricsByLetras

    Assine agora mesmo para continuar lendo e ter acesso ao arquivo completo.

    Continue reading